Waziri Owalo azindua mtandao wa WIFI wa umma katika kaunti ya Bungoma

  • | KBC Video
    115 views

    Waziri wa habari, mawasiliano na uchumi wa dijitali Eliud Owalo ametoa wito kwa wakazi wa Bungoma kutumia vyema mtandao wa WIFI wa umma uliozinduliwa leo asubuhi katika kaunti hiyo. Waziri aliwataka wale waliokaribu na mtandao huo wa WIFI kuutumia vyema kwa maswala ya elimu na biashara kwa vile ulimwengu wa sasa unaegemea zaidi mfumo wa dijitali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive