Waziri Soipan : Nawahisi Wakenya wajitokeze zaidi kesho kupanda miti

  • | KBC Video
    3 views

    Waziri Soipan : Siku ya Ijumaa ni siku ya upanzi wa miti. Watafiti wanasema mwisho wa mwaka huu kutakuwa na ukame, Nawahisi Wakenya wajitokeze zaidi kesho kupanda miti.