Waziri wa Afya Aden Duale asema hakuna pesa za UHC

  • | Citizen TV
    179 views

    Waziri wa Afya Aden Duale amesema kuwa wizara yake haina pesa za kutosha kuwapa kandarasi za kudumu wahudumu wa mpango wa afya kwa wote - UHC-. Duale amesema kuwa shilingi bilioni 3.5 zilizoko kwa sasa ni za kuwapa kandarasi za muda wauguzi.