- 10,826 viewsDuration: 49sTazama jinsi Waziri wa Afya wa Marekani Robert F. Kennedy Jr. alivyokuwa akihangaika kuwakamata nyoka hawa kwa mikono. Nyoka hao weusi wenye kasi aina ya black racers “ hawana sumu na si hatari kwa binadamu mradi wasisumbuliwe. Tukio hili la hivi karibuni la RFK Jr ni sehemu ya mfululizo wa matukio yake yanayozua mshangao. #bbcswahili #marekani #wanyama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw