Waziri wa afya Susan Nakhumicha, akabiliwa na tishio la kupoteza kazi

  • | K24 Video
    170 views

    Wakati huohuo ,waziri wa afya Susan Nakhumicha, anakabiliwa na tishio la kupoteza kazi endapo hoja ya kutokuwa na imani naye itapitishwa bungeni. Hoja hiyo ya mbunge wa Embakasi mashariki , Babu Owino imetokana na mgomo wa madaktari kuendelea kwa wiki ya tatu sasa bila ya suluhu kupatikana