Waziri wa Afya Susan Nakhumicha akashifu uvamizi katika hospitali ya Port Victoria

  • | West TV
    31 views
    Baada ya Mwanamume na Mwanamke kuonekana wakizua fujo na kumshambulia mhudumu wa afya katika hospitali ya Port Victoria eneo bunge la Budalangi katika kaunti ya Busia, Waziri wa Afya nchini Susan Nakhumicha amejitokeza na kukashifu uvamizi huo akiita idara ya usalama kuwatia mbaroni wahusika