Waziri wa afya Susan Nakhumicha asema mazungumzo yanaendelea kutafuta suluhu ya madaktari

  • | Citizen TV
    499 views

    Waziri wa afya nchini Susan Nakhumicha amesema kuwa wizara hiyo iko tayari kufanya kikao cha makubaliano na madaktari nchini ili kusitisha mgomo wa wahudumu wa afya nchini.