Waziri wa ardhi Alice Wahome asema makato ya nyumba sharti yalipwe

  • | Citizen TV
    1,361 views

    Waziri wa ardhi, ujenzi na nyumba Alice Wahome ametahadharisha waajiri kuwa licha ya uamuzi wa mahakama kuharamisha ushuru wa nyumba za bei nafuu, wana jukumu la kuwasilisha makato ya 1.5% ya nyumba kwa tume ya ukusanyaji ushuru- KRA-