Waziri wa biashara na viwanda Moses Kuria amethibitisha kupungua kwa bei ya bidhaa muhimu nchini

  • | K24 Video
    81 views

    Waziri wa biashara na viwanda Moses Kuria amethibitisha kupungua kwa bei ya bidhaa muhimu hapa nchini ikiwa tu kama mojawapo ya jitihada za kutimiza ahadi ya serikali ya kenya kwanza.hata hivyo jitihada hizo sasa zikionekana kuibua hisia mseto miongoni mwa wakenya