Waziri wa biashara na viwanda Moses Kuria atajariwa kufungua kituo cha viwanda kaunti ya Busia

  • | Citizen TV
    241 views

    Waziri wa biashara na viwanda Moses Kuria anatajariwa kufungua kituo cha viwanda huko matayos kaunti ya Busia leo. Chrispine Otieno tayari amefika eneo hilo na sasa anatupasha wanachotarajia wakazi