Waziri wa elimu aamuru vyuo vikuu kuwapokea wanafunzi wote bila malipo ya karo kwa wakati unaofaa

  • | Citizen TV
    343 views

    Waziri wa elimu Julius Migos Ogamba ameamuru vyuo vikuu nchini kuwapokea wanafunzi bila malipo ya karo kwa wakati unaofaa.