Waziri wa elimu aongoza wakenya kumuomboleza Prof. Magoha

  • | Citizen TV
    5,514 views

    Waziri wa elimu Ezekiel Machogu na katibu wake Belio Kipsang' walikuwa miongoni mwa maelfu ya Wakenya waliotoa heshima za mwisho kwa mwendazake Profesa George Magoha. Msafara wa marehemu ulipitia maeneo mbali mbali jijini Nairobi ikiwemo chuo kikuu cha Nairobi, jumba la Mtihani na shule ya wavulana ya Starehe alikosomea kabla kukamilisha safari hiyo nyumbani kwake mtaani Lavington