Waziri wa elimu Ezekiel Machogu ahojiwa na kamati ya seneti kuhusu elimu

  • | K24 Video
    53 views

    Wizara ya elimu imeshutumiwa na kamati ya seneti ya elimu kuhusu ukosefu wa walimu na ucheleweshaji wa ufadhili katika shule za sekondari za awali , JSS. Kwa mujibu wa waziri wa elimu, ezekiel Machogu, ni wanafunzi elfu 55,943 pekee ambao hawajajiunga na JSS. Kulingana na waziri huyo, idadi hiyo imetokana na ukosefu wa usalama na ukame katika maeneo mbali mbali. hata hivyo ameshikilia kwamba masomo yote yanaendelea vicha licha ya changamoto zilizoko. Kuna shule za umma za jss ambako masomo hayaendelei vizuri kutokana na idadi ndogo ya walimu.