Waziri wa elimu Julius Migos aomba muungano wa KUPPET kusitisha mgomo wao

  • | K24 Video
    8 views

    Waziri wa elimu Julius Migos ameomba muungano wa KUPPET kusitisha mgomo wao mara moja, akisema kuwa tayari fedha zimetengwa kushughulikia maslahi yao kama ilivyoratibiwa katika makubaliano ya mwaka 2021-2025. Mgomo wa KUPPET uliwapelekea walimu chini ya muungano wa KUPPET kufika barabarani mapema leo katika maeneo tofauti nchini.