Waziri wa Elimu Julius Ogamba asema serikali itatoa takriban shilingi bilioni 30 ya kuwalipa walimu

  • | NTV Video
    320 views

    Waziri wa elimu Julius Ogamba anasema serikali kupitia tume ya waalimu nchini inafanya kila juhudi ili kuzuia mgomo wa walimu unaotarajiwa kuanza jumatatu wiki ijayo, serikali iKIAHIDI KUtoa takriban shilingi bilioni 30 ya kuwalipa walimu. Waziri Ogamba alisema hayo mjini Mombasa akitaja kuwa mkutano baina ya TSC na vyama vya walimu KNUT na KUPPET unapaswa kuleta maafikiano YA matakwa wanayolalamikia walimu, akitaja kwamba lalama zao zinapaswa kushughulikiwa ipasavyo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya