Waziri wa fedha Njuguna Ndungu asema serikali itafanikisha utozaji wa ada mpya za NSSF

  • | K24 Video
    87 views

    Waziri wa fedha Njuguna Ndungu amesema serikali itafanikisha utozaji wa ada mpya za NSSFwakati wowote kuanzia sasa . Akizungumza katika kaunti ya Mombasa katika kikao na kamati ya seneti ya masuala ya fedha na bajeti ,ndungu amesema mabadiliko hayo hayalengi kumhujumu mwananchi bali yataimarisha hazina hiyo na kumnufaisha pakubwa. haya yanajiri huku wakenya wakiwa na hisia mseto kuhusu ongezeko hilo.