Waziri wa fedha Njuguna Ndungu azindua rasmi ripoti ya utafiti wa demografia na afya nchini

  • | K24 Video
    56 views

    Waziri wa fedha Njuguna Ndungu leo alizindua rasmi ripoti ya utafiti wa demografia na afya nchini inayoonyesha kuwa asilimia 74 ya wakenya hawana bima ya afya. Ndungu amesema kuwa bima ya afya ya nhif ina nia ya kujitosheleza ili kupunguza gharama ya bima. Waziri wa afya Susan Nakhumicha pia alihudhuria hafla hiyo na kuapa kusuluhisha matatizo yanayokumba bima ya nhif ili kuboresha huduma za afya kwa wananchi.