- 602 viewsDuration: 1:17Waziri wa hazina ya fedha John Mbadi amesema kuwa serikali itakahakikisha fedha zinatopatikana katika uuzwaji wa hisa za kampuni mbali mbali zitatumika kwa miradi muhimu. Akizungumza katika kaunti ya Kisumu, Mbadi alikashifu baadhi ya viongozi kwa kile alichosema ni kuwapotosha wakenya kupitia madai ya uwezekano wa ufujaji wa fedha hizo.