Waziri wa hazina ya kitaifa Njuguna Ndug'u ahojiwa bungeni kuhusiana na ruzuku ya mafuta

  • | Citizen TV
    259 views

    Waziri wa hazina ya kitaifa Profesa Njuguna Ndug'u anahojiwa na kamati ya fedha bungeni kuhusiana na ruzuku ya mafuta. Ndung'u amekanusha kuwa serikali ilitoa shilingi bilioni 17 kutoka kwa hazina kuu kulipia ruzuku hiyo akisema mpango huo ulifutiliwa mbali kwasababu ulikuwa unagharimu serikali pesa nyingi