Waziri wa Kilimo Linturi asema kuwa marufuku ya matumizi wa muguka Kilifi na Mombasa sio halali

  • | TV 47
    3,498 views

    Waziri wa Kilimo Mithika Linturi asema kuwa marufuku ya matumizi na usambazaji wa muguka katika Kaunti za Kilifi na Mombasa sio halali.

    Serikali yasema marufuku ya muguka Kilifi na Mombasa hayafai.

    Kilifi na Mombasa zilipiga marufuku usambazaji na uuzaji wa muguka.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __