Waziri wa kilimo Mithika Linturi aagiza mikakati ya kuzalisha chakula kingi

  • | Citizen TV
    114 views

    Waziri wa kilimo Mithika Linturi ameagiza vitengo vya serikali vinavyohusika na kilimo nchini kubuni mikakati ya kuzalisha chakula ili kuliwezesha taifa kujitosheleza kwa chakula.