Waziri wa kilimo Mithika Linturi asema mbolea za serikali ni salama

  • | Citizen TV
    1,051 views

    Waziri wa kilimo Mithika Linturi amekanusha kuwa mbolea ya ruzuku inayotolewa na serikali kupitia maghala ya bodi ya nafaka NCPB ni ghushi. Linturi ambaye aliandamana na katibu wa wizara hiyo Paul Rono wamesema kuwa mbolea inayodaiwa ikiwa ghushi inafanyiwa uchunguzi ili kubaini madai hayo.