Waziri wa Kilimo Mutahi Kagwe atetea ubinafsishaji wa viwanda vya Sukari

  • | Citizen TV
    616 views

    Waziri wa Kilimo Mutahi Kagwe amewakashifu baadhi ya viongozi wa kisiasa wanaopinga ukodishaji wa viwanda vya sukari na kusema kuwa taratibu zote za ununuzi zilifuatwa ikiwemo ukusanyaji wa maoni ya umma. Kagwe ambaye alizungumza kwenye kikao na wabunge wa kamati ya kilimo amesema kuwa kampuni hizo hazikuuzwa bali zimekodishwa ili kuhakikisha kuwa shughuli hazikwami.