Waziri wa kilimo nchini amekana madai ya kuwepo kwa mbolea bandia

  • | West TV
    9 views
    Huku wakenya wakiendelea kutafakari ripoti za serikali kusambaza mbolea feki kwa wakulima kupitia mpango wake wa mbolea ya bei nafuu, waziri wa kilimo Mithika Linturi amejitokeza na kusisitiza kwamba hamna mbolea bandia iliyosambazwa kwa wakenya kupitia vituo vya nafaka na mazao nchini NCPB.