Waziri wa maji Eric Mugaa awataka wakuu wa mashirika ya maji kushirikiana na serikali za kaunti

  • | Citizen TV
    104 views

    Waziri wa maji Eric Mugaa amewataka wakuu wa mashirika ya maji nchini kushirikiana na serikali za ugatuzi wakati wanabuni mikakati ya mipango yao ili kuwa na lengo moja la maendeleo kuhusu huduma ya maji kwenye kaunti husika.