- 708 viewsDunia wiki hii imeadhimisha siku ya maji ambapo umoja wa mataifa ulisema asilimia 26 ya watu hawapati maji. UN imefanya Mkutano wake wa kwanza wa kimataifa kuhusu maji baada ya miongoni kadhaa tangu ule uliofanyika miaka ya 70. Leo katika studio zetu tumetembelewa na waziri wa maji wa Tanzania Juma Aweso ambaye alihudhuria Mkutano huo. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
WAZIRI WA MAJI TANZANIA JUMA AWESO AZUNGUMZIA MIKAKATI YA SERIKALI KUHUSU TATIZO LA MAJI NCHINI
- - Nasaha za Ramadhan ››
- 28 Mar 2024 - The government has summoned 30,000 private security guards across the country to assemble at Uhuru Park on Saturday for mass registration and issuance of Guard Force Numbers (GFNs).
- 28 Mar 2024 - Police have apprehended suspected notorious gang members who have been stealing from motorists along Museum Hill Road in Nairobi.
- 28 Mar 2024 - Pastor Dorcas Rigathi has issued a stern warning to illicit brew traders in the country, stating that she will not relent in the fight against drug abuse until all perpetrators of the vice are rounded up.
- 28 Mar 2024 - Skiza na Citizen has awarded two more winners in the ongoing Skiza Chapaa promotion.
- 28 Mar 2024 - Wiper Democratic Movement Party Leader Kalonzo Musyoka has declared that President William Ruto will break the record of being a one-term President come the general elections in 2027.
- 28 Mar 2024 - The ministry announced that going forward no further tax increments will be made without consultations.
- 28 Mar 2024 - The facilities will support the country in the cross-border areas of Nimule and Wounthou areas.
- 28 Mar 2024 - A petition has been filed against Saboti Member of Parliament Caleb Amisi for allegedly failing to repay "soft loans" amounting to USD 60,300 (approx. Ksh.7.9 million) he took from a diplomat.
- 28 Mar 2024 - The matter will be heard before the Nyeri Court on April 3.
- 28 Mar 2024 - Over 30 people have been arrested in the last two days in Nairobi.