Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya azungumzia suala la uchumi na kuwapeleka askari wake Haiti

  • | VOA Swahili
    159 views
    Katika Mahojiano na Sauti ya Amerika VOA kuhusu masuala ya kitaifa na nje ya nchi,Waziri wa Mambo ya nje Musalia Mudavadi , amesema Kenya itaheshimu mahakama katika suala la kuwapeleka maafisa wa usalama Haiti na kuhusiana na suala la Uchumi amesema Wakenya watalazimika kukaza Kamba zaidi. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.