Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani akicheza guitar kujenga diplomasia

  • | VOA Swahili
    232 views
    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken Jumatano alichagua chombo kisichotarajiwa cha diplomasia – guitar lake. Shabiki wa muziki wa kipindi chote cha maisha yake ambaye amegeuka kuwa mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Marekani alionyesha ujuzi wake wa kucheza guitar wakati akizindua juhudi mpya za diplomasia ya muziki itayotumiwa na Marekani kupeleka wasanii maarufu nchi mbalimbali, ikiwemo China na Saudi Arabia. #US #music #China #saudiarabia #blinken #voanews#diplomacy #DepartmentofState - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.