Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Blinken akutana na Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu

  • | VOA Swahili
    2,909 views
    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken alisema Alhamisi kuwa Israel ilikuwa na “haki na “jukumu” la “kujihami” baada ya Hamas kuishambulia. Alikuwa akiongea pembeni ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu katika mkutano wa wanahabari mjini Tel Aviv Alhamisi. Idadi ya raia wa Marekani waliofariki katika vita kati ya Israel na Palestina imeongezeka kufikia watu wasiopungua 25, Blinken alisema – idadi imeongezeka kutoka watu 22 walioripotiwa Jumatano. #israel #palestine #gaza #reels #igreels #videography #voa #hamas #gazacity #blinken #natenyahu