- 44 viewsWaziri wa Mazingira nchini , Deborah Barasa, amekanusha madai ya uvamizi wa misitu, akisema hakuna makazi ya bei nafuu yanayojengwa ndani ya misitu. Akizungumza katika kituo cha uzalishaji miche upande wa Ngong kaunti ya kajiado , Waziri huyo alisema miundo inayoonekana ni ya muda kwa ajili ya maafisa wa HUDUMA KWA VIJANA NYS wanaosaidia katika upandaji na ukuzaji wa miche.