Waziri wa mazingira Soipan Tuya aongoza maadhimisho ya siku hii

  • | Citizen TV
    207 views

    Waziri wa mazingira Soipan Tuya amewaonya wakenya wanaoishi karibu na misitu na maeneo ya kufuatilia maji dhidi ya uvamizi akisema wizara yake inahakikisha ulinzi wa rasilimali za nchi.