Waziri wa michezo atarajiwa kuchapisha tarehe ya uchaguzi wa baraza la vijana nchini

  • | Citizen TV
    60 views

    Katibu wa idara ya vijana na uchumi bunifu Fikirini Jacobs amesema kuwa mipango yote imekamilika kwa ajili ya kuandaa uchaguzi kwa baraza la vijana nchini. Kwenye kikao na wanahabari, Jacobs amesema kuwa kinachosubiriwa ni waziri wa michezo Salim Mvurya kuchapisha tarehe rasmi kwenye gazeti la serikali