Waziri wa Ulinzi wa Marekani azuru Israel

  • | VOA Swahili
    27 views
    “Manowari ya USS Gerald R. Ford ya kivita hivi sasa iko katika eneo hilo, ikiongozwa na manowari kubwa sana ya kubeba ndege za kivita. Tumeongeza ndege za kivita za Marekani huko Mashariki ya Kati, na Wizara ya Ulinzi ya Marekani imesimama tayari kupelekea vifaa vya ziada kama vitahitajika” - Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin. #manowari #UUSgeraldrford #kivita #ndege #kivita #hamas #israel #marekani #lloydaustin