Waziri wa usalama aliharamisha uchimbaji madini Migori

  • | Citizen TV
    11 views

    Wachimba migodi kutoka kaunti ya Migori wameirai wizara ya usalama wa ndani kubatilisha agizo la kufungwa kwa migodi ya dhahabu katika kaunti hiyo. Kulingana na mwenyekiti wa muungano wa wachimba migodi humu nchini Dan Odida, agizo hilo lilifanywa bila mazungmzo na idara ya kuchimba madini ambayo ingetoa mwelekeo bora zaidi. Hata hivyo, wachimba migodi hao walikaribisha juhudi za shirika moja linalopnaia kuwapa mafunzo pamoja na fedha za kununua vifaa vya usalama.