18 Feb 2026 7:46 pm | Citizen TV 5,611 views Duration: 1:15 Waziri wa Usalama wa kitaifa Kipchumba Murkomen amesema kuwa polisi hawakufahamishwa mapema kuhusu mkutano ulioongozwa na Katibu Mkuu wa ODM, Edwin Sifuna eneo la Kitengela kaunti ya Kajiado jumapili iliyopita.