Waziri wa usalama atoa ilani kwa watu 19 na taasisi

  • | Citizen TV
    1,730 views

    Waziri wa Usalama Profesa Kithure Kindiki, ametoa ilani kwa watu 19 na taasisi ambazo serikali inaamini zinachochea ugaidi humu nchini.Akizungumza katika kaunti ya Lamu, Waziri Kindiki amesema kuwa serikali itafuata sheria kuhakikisha kuwa wafadhili na wapangaji wa ugaidi wamesakwa na kutambuliwa.