Waziri wa Usalama Kindiki akagua mustakabali wa operesheni ya kiusalama katika kaunti ya Baringo

  • | Citizen TV
    192 views

    Waziri wa Usalama Profesa Kithure Kindiki leo anatarajiwa kaunti ya Baringo ambako anatarajiwa kukagua mustakabali wa operesheni ya kiusalama inayoendelea eneo hilowaziri Kindiki anatarajiwa kufuatia operesheni hiyo iliyonuia kuwalenga majangili na wahalifu. Aidha, anatarajiwa kurejelea shughuli za masomo na ujenzi mpya wa shule zilizoharibiwa kwenye uvamizi wa majangili mwaka jana.