Waziri wa usalama Kindiki akosolewa kwa kuzindua operesheni kali dhidi ya wahudumu wa matatu

  • | K24 Video
    148 views

    Waziri wa usalama Kithure Kindiki amekosolewa kwa kuzindua operesheni kali dhidi ya wahudumu wa matatu na sekta ya usafiri kwa ujumla bila ya kuwahusisha wadau katika sekta hiyo. Wakiongozwa na afisa mkuu mtendaji wa muungano wa wamiliki wa matatu Patricia Mutheu, wadau hao wamesisitiza umuhimu wa kujumiushwa kwao katika maamuzi yanayoathiri moja kwa moja sekta hiyo.