Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa usalama, Kipchumba Murkomen asisitiza umuhimu wa vifungo vya nje

  • | Citizen TV
    672 views
    Duration: 2:46
    Waziri wa usalama, Kipchumba Murkomen, amesisitiza umuhimu wa kutoa vifungo vya nje kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wafungwa magerezani. Waziri amesema kuwa magereza kwa sasa yana zaidi ya wafungwa elfu sitini, kwenye idadi inayozidi uwezo wake.