Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen sasa anasema ni watu 42 waliouawa kwenye maandamano ya vijanaya

  • | Citizen TV
    5,025 views

    Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen sasa anasema ni watu 42 waliouawa kwenye maandamano ya vijanaya Juni 25 na siku ya Saba Saba. Idadi ya waziri Murkomen ikionekana kukinzana na ile ya mashirika ya haki yaliyoripoti zaidi ya vifo 60. Kwenye kikao na wanahabari, waziri Murkomen alisema zaidi ya watu 70 wanakabikiwa na mashtaka ya ugaidi,