Waziri wa usalama Kipchumbaa Murkomen akosoa ripoti iliyokashifu polisi

  • | Citizen TV
    2,564 views

    Waziri Murkomen aongoza ujumbe wa usalama Baringo huku akiwasifu polisi kwa kujitahidi wakati wa maandamano kuweka amani nchini