Waziri wa usalama Kithure Kindiki asisitiza haja ya mageuzi uchapishaji wa pasipoti

  • | Citizen TV
    862 views

    Waziri wa usalama Profesa Kithure Kindiki amesisitiza haja ya mageuzi kulainisha shughuli za utoaji pasipoti nchini.