Waziri wa Utalii asema serikali imetoa shilingi milioni 70 za waathiriwa wa wanyamapori

  • | Citizen TV
    106 views

    Waziri wa Utalii na wanyamapori Alfred Mutua ametoa onyo kali kwa hoteli hasa za kitalii kuwa zitashushwa hadhi na zingine kufungwa kutokana na huduma duni zinazotolewa.