Skip to main content
Skip to main content

Waziri wa zamani asema Raphael Tuju aahidi kupambana na kupigania mali yake

  • | Citizen TV
    1,671 views
    Duration: 2:44
    Waziri wa zamani Raphael Tuju ameapa kuendelea kupigania kipande chake cha ardhi cha ekari 27 kilichoko Karen licha ya kupigwa mnada. Kwa mujibu wa Tuju, kiasi cha fedha anachodaiwa na benki ya maendeleo ya afrika mashariki ni kidogo sana ikilinganishwa na thamani ya mali hiyo.