Waziri wa zamani Rashid Echesa akamatwa kwa tuhuma za utapeli

  • | Citizen TV
    5,234 views

    Waziri wa zamani Rashid Echesa anazuiliwa na polisi katika kituo cha Muthaiga baada ya kukamatwa hapo jana kwa madai ya utapeli.