Waziri wa zamani wa fedha wa Zimbabwe hakubaliani na tathmini ya Rais Mnangagwa kuhusu uchumi

  • | VOA Swahili
    389 views
    Waziri wa zamani wa fedha wa Zimbabwe, kiongozi wa chama kikuu cha upinzani hakubaliani na tathmini ya Rais Emmerson Mnangagwa kuhusu uchumi, na anasema Rais amepewa habari potofu. Sikiliza hoja za kiongozi huyu wa upinzani Tendai Biti kuhusu hali ya uchumi wa nchi hiyo... #waziri #zimbabwe #rais #emmersonmnangagwa #uchumi #habari #potofu #tendaibiti #voa #voaswahili - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.