Skip to main content
Skip to main content

Waziri Wandayi asema hakuna uhaba wa mafuta, Kinyanjui atetea mabadiliko ya viwango vya ubora

  • | Citizen TV
    985 views
    Duration: 3:07
    Hayo yakijiri, Waziri wa Kawi na Petroli Opiyo Wandayi sasa anasema Kenya ina mafuta ya kutosha, akiwataka Wakenya kutokuwa na kiwewe kuhusu uhaba wa bidhaa hiyo muhimu nchini. Aidha, Waziri wa Biashara Lee Kinyanjui ametetea kupunguzwa kwa viwango vya ubora wa mafuta hayo, akisema hatua hiyo imechangiwa na kuvamiwa kwa maghala ya mafuta nchini Iran na maeneo ya Ghuba.