Skip to main content
Skip to main content

Waziri Wandayi asema serikali itatafuta njia mbadala za kupata mafuta

  • | Citizen TV
    2,322 views
    Duration: 2:46
    Waziri wa Kawi Opiyo Wandayi amewahakikishia wakenya kuwa taifa lina mafuta ya kutosha kwa sasa, licha ya msukosuko unaoshuhudiwa katika mataifa ya mashariki ya kati. kwenye taarifa kwa vyombo vya habari Waziri Wandayi pia amesema kuwa serikali inazungumza na wauzaji kujadili njia mbadala za kupata mafuta endapo hali itazidi kuwa mbaya. Haya yamejiri huku milio zaidi ya makombora ikisikika nchini Iran na Saudi Arabia.