Webuye: Wanawake wawili wazuiliwa na maafisa wa polisi kwa madai ya kumuua ndugu yao mkubwa

 • | NTV Video
  958 views

  wanawake wawili kutoka kijiji cha Lutacho eneo bunge la Webuye mashariki wanazuiliwa na Maafisa wa polisi mjini webuye kwa madai ya kumuua ndungu yao mkubwa kutokana na kile kinachodhaniwa kuwa ni mzozo wa chakula.

  Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

  Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

  https://www.ntvkenya.co.ke