Wengi eneo hili la West Pokot wamegeukia kilimo kuzalisha chakula

  • | Citizen TV
    324 views

    Wafugaji katika kaunti ya pokot magharibi wamegeukia kilimo ili kuzalisha chakula cha kutosha na kuepuka kutegemea chakula cha msaada. Kama anavyoarifu Collins Shitiabayi wafugaji hao ambao wanalenga kubadili taswira ya eneo hilo wanaitaka serikali kuwapa msaada wa pembejeo ili kutimiza malengo yao .